Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 9:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Waambie hivi Waisraeli: ‘Mtu yeyote miongoni mwenu au miongoni mwa vizazi vyenu vijavyo akijichafua kwa kumgusa mtu aliyekufa+ au akisafiri mbali, bado anapaswa kumtayarishia Yehova dhabihu ya Pasaka. 11 Watu hao wanapaswa kuitayarisha katika mwezi wa pili,+ siku ya 14 kabla ya giza kuingia.* Wanapaswa kuila pamoja na mikate isiyo na chachu na mboga chungu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki