Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 7:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Yule aliyeleta matoleo yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni+ mwana wa Aminadabu wa kabila la Yuda.

  • Hesabu 10:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa hiyo kundi la makabila matatu katika kambi ya wana wa Yuda liliondoka kwanza kulingana na vikosi vyake,* na kiongozi wa kundi hilo alikuwa Nashoni+ mwana wa Aminadabu.

  • Ruthu 4:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Aminadabu+ akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;

  • Mathayo 1:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Ramu akawa baba ya Aminadabu;

      Aminadabu akawa baba ya Nashoni;+

      Nashoni akawa baba ya Salmoni;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki