Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1:22, 23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “Hata hivyo, ninyi nyote mlinijia na kusema, ‘Na tutume wanaume watutangulie na kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, watuletee habari kuhusu njia tunayopaswa kufuata na ni majiji ya aina gani tutakayoyapata huko.’+ 23 Pendekezo hilo lilionekana zuri kwangu, kwa hiyo nikawachagua wanaume 12 miongoni mwa wanaume wenu, mwanamume mmoja kwa ajili ya kila kabila.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki