-
Mwanzo 48:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Yosefu hakufurahi alipoona baba yake ameuweka mkono wake wa kulia juu ya kichwa cha Efraimu, basi akashika mkono wa baba yake na kujaribu kuuondoa juu ya kichwa cha Efraimu ili auweke juu ya kichwa cha Manase.
-