Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 14:33, 34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Wana wenu watakuwa wachungaji nyikani kwa miaka 40,+ nao lazima wateseke kwa sababu ya matendo yenu ya kukosa uaminifu* mpaka mtu wenu wa mwisho atakapofia nyikani.+ 34 Mtateseka kwa sababu ya makosa yenu kwa miaka 40,+ sawa na siku 40+ ambazo mliipeleleza nchi, yaani, siku moja kwa mwaka mmoja, siku moja kwa mwaka mmoja, kwa maana mtajionea matokeo ya kunipinga mimi.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki