Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 32:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Basi hasira ya Yehova ikawaka dhidi ya Waisraeli naye akawafanya watangetange nyikani kwa miaka 40,+ mpaka kizazi chote kilichokuwa kikifanya maovu machoni pa Yehova kilipoangamia.+

  • Yoshua 14:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi kama alivyoahidi,+ Yehova amenihifadhi hai+ kwa miaka 45 tangu Yehova alipompa Musa ahadi hiyo Waisraeli walipotembea nyikani;+ ningali hai leo, nina umri wa miaka 85.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki