Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 7:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Mkijiambia mioyoni mwenu, ‘Mataifa haya yana watu wengi kuliko sisi. Tunawezaje kuyafukuza?’+ 18 msiwaogope.+ Mnapaswa kujikumbusha mambo ambayo Yehova Mungu wenu alimtendea Farao na nchi yote ya Misri,+

  • Kumbukumbu la Torati 20:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Anapaswa kuwaambia hivi: ‘Sikilizeni, enyi Waisraeli, hivi punde mtapigana na maadui wenu. Msife moyo. Msiogope wala msihofu wala kutetemeka kwa sababu yao,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki