Kumbukumbu la Torati 1:41 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 41 “Ndipo mliponiambia, ‘Tumemtendea Yehova dhambi. Sasa tutapanda kwenda kupigana, kama Yehova Mungu wetu alivyotuamuru!’ Basi kila mmoja wenu akajivika silaha zake za vita, nanyi mlifikiri ni rahisi kupanda mlimani.+
41 “Ndipo mliponiambia, ‘Tumemtendea Yehova dhambi. Sasa tutapanda kwenda kupigana, kama Yehova Mungu wetu alivyotuamuru!’ Basi kila mmoja wenu akajivika silaha zake za vita, nanyi mlifikiri ni rahisi kupanda mlimani.+