Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 4:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 “‘Lakini akitoa mwanakondoo ili awe dhabihu yake ya dhambi, anapaswa kuleta mwanakondoo jike asiye na kasoro.

  • Mambo ya Walawi 4:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Ataondoa mafuta yake yote kama mafuta ya mwanakondoo dume wa dhabihu ya ushirika yanavyoondolewa, na kuhani atayateketeza kwenye madhabahu juu ya dhabihu za Yehova zinazochomwa kwa moto;+ naye kuhani atatoa dhabihu ya kufunika dhambi ambayo mtu huyo alitenda, naye atasamehewa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki