Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 15:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Mtatoa mchango wa mazao ya kwanza+ ya mikate ya mviringo iliyookwa kwa unga wenu ambao haujakobolewa. Mtautoa kama mchango unaotoka katika uwanja wa kupuria nafaka.

  • Ezekieli 44:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Matunda yote ya kwanza yaliyo bora na kila aina ya mchango mtakaotoa utakuwa wa makuhani.+ Nanyi mnapaswa kumpatia kuhani mavuno ya kwanza ya unga wenu ambao haujakobolewa.+ Hilo litafanya baraka ikae juu ya nyumba zenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki