Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 10:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Pia, wewe na wanao na binti zako+ mtakula kidari cha toleo la kutikiswa na mguu wa fungu takatifu+ mkiwa mahali safi kwa sababu vitu hivyo vimetolewa ili kuwa posho yako na posho ya wanao kutoka kwenye dhabihu za ushirika za Waisraeli.

  • Kumbukumbu la Torati 18:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 “Sasa hii ndiyo haki ambayo makuhani wanastahili kutoka kwa watu: Mtu yeyote anayetoa dhabihu, iwe ni ng’ombe dume au kondoo anapaswa kumpa kuhani mguu wa mbele, mataya, na tumbo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki