5 Msizozane nao, kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao, hata mahali panapotoshea wayo wa mguu, kwa sababu nimempa Esau Mlima Seiri uwe miliki yake.+ 6 Mnapaswa kuwalipa pesa kwa ajili ya chakula mtakachokula, nanyi mnapaswa kulipia maji mtakayokunywa.+