Hesabu 14:45 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 45 Ndipo Waamaleki na Wakanaani walioishi kwenye mlima huo wakashuka na kuanza kuwashambulia, wakawatawanya mpaka Horma.+
45 Ndipo Waamaleki na Wakanaani walioishi kwenye mlima huo wakashuka na kuanza kuwashambulia, wakawatawanya mpaka Horma.+