-
Kumbukumbu la Torati 1:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Kisha Waamori waliokuwa wakikaa kwenye mlima huo wakatoka ili kuwashambulia, wakawakimbiza kama nyuki wanavyofanya na kuwatawanya kuanzia Seiri mpaka Horma.
-