Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Balaki aliposikia kwamba Balaamu amefika, alitoka nje mara moja kumpokea katika jiji la Moabu, kwenye ukingo wa Arnoni, katika mpaka wa Moabu.

  • Waamuzi 11:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Walipopitia nyikani, waliizunguka nchi ya Edomu+ na nchi ya Moabu. Wakapitia upande wa mashariki wa nchi ya Moabu+ na kupiga kambi katika eneo la Arnoni; hawakufika kwenye mpaka wa Moabu kwa sababu Mto Arnoni ulikuwa mpaka wa Moabu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki