13 Wakaondoka huko na kupiga kambi katika eneo la Arnoni,+ lililo katika nyika inayoanzia kwenye mpaka wa Waamori, kwa maana eneo la Arnoni ni mpaka wa Moabu, kati ya Wamoabu na Waamori.
16 Na watu wa kabila la Rubeni na kabila la Gadi+ nimewapa kuanzia Gileadi mpaka kwenye Bonde* la Arnoni, katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka, hadi Bonde la Yaboki, ambalo ni mpaka wa Waamoni,