Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Wakafika kwa Balaamu na kumwambia: “Balaki mwana wa Sipori anasema hivi: ‘Tafadhali, usiruhusu chochote kikuzuie kuja kwangu, 17 kwa maana nitakuthawabisha sana, nami nitafanya chochote utakachoniambia. Njoo tafadhali, uwalaani watu hawa kwa niaba yangu.’”

  • Hesabu 24:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo Balaki akamkasirikia sana Balaamu. Akapiga makofi kwa dharau na kumwambia Balaamu: “Nilikuita uwalaani maadui wangu,+ badala yake umewabariki mara tatu. 11 Sasa rudi nyumbani mara moja. Nilitaka kukuthawabisha sana,+ lakini Yehova amekunyima thawabu.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki