Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 22:41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Asubuhi Balaki akamchukua Balaamu na kwenda naye Bamoth-baali; akiwa huko aliweza kuwaona Waisraeli wote.+

  • Hesabu 23:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Kisha Balaamu akamwambia Balaki: “Jenga madhabahu saba mahali hapa,+ nawe unitayarishie ng’ombe dume saba na kondoo dume saba.”

  • Hesabu 23:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Kwa hiyo akampeleka kwenye uwanja wa Sofimu, juu ya Pisga,+ naye akajenga madhabahu saba na kutoa dhabihu ya ng’ombe dume mmoja na kondoo dume mmoja juu ya kila madhabahu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki