Mwanzo 38:2-4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye, 3 akapata mimba. Baadaye akazaa mwana, akampa jina Eri.+ 4 Akapata mimba tena, akazaa mwana na kumpa jina Onani.
2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye, 3 akapata mimba. Baadaye akazaa mwana, akampa jina Eri.+ 4 Akapata mimba tena, akazaa mwana na kumpa jina Onani.