Kumbukumbu la Torati 32:47 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 47 Kwa maana haya si maneno matupu kwenu, bali yanamaanisha uhai wenu,+ na kwa maneno haya mnaweza kuishi kwa muda mrefu katika nchi ambayo mnavuka Yordani kuimiliki.”
47 Kwa maana haya si maneno matupu kwenu, bali yanamaanisha uhai wenu,+ na kwa maneno haya mnaweza kuishi kwa muda mrefu katika nchi ambayo mnavuka Yordani kuimiliki.”