12 Baadaye Yehova akamwambia hivi Musa na Haruni: “Kwa sababu hamkuonyesha kwamba mna imani kwangu na kunitakasa mbele ya Waisraeli, hamtawaingiza watu hawa katika nchi ambayo nitawapa.”+
27 Panda juu ya kilele cha Pisga,+ utazame magharibi na kaskazini na kusini na mashariki, uone nchi hiyo kwa macho yako, kwa maana hutavuka mto huu wa Yordani.+