Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 23:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 “Nitaweka mpaka wenu kuanzia Bahari Nyekundu mpaka bahari ya Wafilisti na kuanzia nyikani mpaka kwenye Mto Efrati;+ kwa maana nitawatia wakaaji wa nchi hiyo mikononi mwenu, nanyi mtawafukuza kutoka mbele yenu.+

  • Hesabu 34:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape Waisraeli maagizo haya: ‘Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani,+ nchi mtakayoirithi, hii ndiyo itakayokuwa mipaka ya nchi hiyo ya Kanaani.+

  • Hesabu 34:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 “‘Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari Kuu* na pwani. Huo utakuwa mpaka wenu wa magharibi.+

  • Kumbukumbu la Torati 11:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kila mahali mtakapokanyaga kwa mguu wenu patakuwa penu.+ Mpaka wenu utaanzia nyikani mpaka Lebanoni, kuanzia ule Mto, mto Efrati, mpaka bahari ya magharibi.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki