-
Mambo ya Walawi 18:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Msifanye mambo hayo ili nchi isiwatapike kwa sababu ya kuichafua kama itakavyoyatapika mataifa yaliyowatangulia.
-
-
Mambo ya Walawi 26:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 “‘Na ikiwa hamtanisikiliza, nanyi mkinipinga kwa ushupavu licha ya mambo hayo,
-