Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Mnapaswa kuchagua majiji yatakayowafaa ninyi ili yawe majiji ya makimbilio ili mtu anayemuua mwenzake bila kukusudia akimbilie humo.+

  • Hesabu 35:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Kisha watu watamwokoa muuaji kutoka mikononi mwa mtu anayelipiza kisasi cha damu na kumrudisha katika jiji lake la makimbilio alimokuwa amekimbilia, naye atakaa humo mpaka kuhani mkuu aliyetiwa mafuta matakatifu+ atakapokufa.

  • Kumbukumbu la Torati 19:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Sasa hivi ndivyo itakavyokuwa kuhusu muuaji ambaye huenda akakimbilia humo ili kuokoa uhai wake: Akimuua jirani yake bila kukusudia naye hakuwa akimchukia;+ 5 kwa mfano, anapoenda na jirani yake msituni kukusanya kuni, kisha anainua mkono wake ili akate mti kwa shoka, lakini shoka lichomoke kwenye mpini na kumgonga jirani yake na kumuua, muuaji huyo anapaswa kukimbilia katika mojawapo ya majiji hayo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki