-
Kumbukumbu la Torati 3:16, 17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Na watu wa kabila la Rubeni na kabila la Gadi+ nimewapa kuanzia Gileadi mpaka kwenye Bonde* la Arnoni, katikati ya bonde ulikuwa ndio mpaka, hadi Bonde la Yaboki, ambalo ni mpaka wa Waamoni, 17 na Araba na Yordani na ule mpaka, kuanzia Kinerethi hadi Bahari ya Araba, Bahari ya Chumvi, chini ya mteremko wa Pisga kuelekea upande wa mashariki.+
-