-
Mambo ya Walawi 11:2-4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 “Waambieni Waisraeli, ‘Hawa ndio wanyama wa nchi kavu mnaoweza kula:+ 3 Mnaweza kumla kila mnyama mwenye kwato zilizopasuka na zilizogawanyika anayecheua.
4 “‘Lakini hampaswi kuwala wanyama wafuatao wanaocheua au wenye kwato zilizogawanyika: msimle ngamia kwa sababu anacheua lakini kwato zake hazijagawanyika. Yeye si safi kwenu.+
-