-
Mambo ya Walawi 4:29, 30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Ataweka mkono wake juu ya kichwa cha mnyama wa dhabihu ya dhambi na kumchinjia mahali ambapo dhabihu za kuteketezwa huchinjwa.+ 30 Kuhani atachukua kwa kidole chake kiasi kidogo cha damu ya mnyama huyo na kuitia kwenye pembe za madhabahu ya dhabihu za kuteketezwa, naye atamwaga damu yote inayobaki kwenye msingi wa madhabahu.+
-