Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 11:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Msinifanye niwachukie kwa kula kiumbe yeyote kati ya viumbe hao, msijitie unajisi na kuwa watu wasio safi.+

  • Mambo ya Walawi 20:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Ni lazima mtofautishe mnyama aliye safi na asiye safi na ndege aliye safi na asiye safi;+ msinifanye niwachukie kwa kula mnyama au ndege au kiumbe yeyote anayetambaa niliyewaambia kwamba si safi.+

  • Matendo 10:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Lakini Petro akajibu: “Hapana Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu chochote kilicho najisi na kisicho safi.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki