Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 12:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ni lazima ninyi na familia zenu mle hapo mbele za Yehova Mungu wenu+ na kushangilia katika kazi zenu zote,+ kwa sababu Yehova Mungu wenu amewabariki.

  • Kumbukumbu la Torati 26:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kisha utashangilia kwa sababu ya vitu vyote vyema ambavyo Yehova Mungu wako amekupa wewe na nyumba yako, wewe na Mlawi na mkaaji mgeni aliye miongoni mwenu.+

  • Zaburi 100:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Mtumikieni Yehova kwa kushangilia.+

      Njooni mbele zake kwa kelele za shangwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki