Kumbukumbu la Torati 12:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 “Lakini wakati wowote mnapotamani nyama, mtamchinja mnyama na kula nyama yake+ kulingana na baraka ambayo Yehova Mungu wenu amewapa katika majiji* yenu yote. Mtu asiye safi na mtu aliye safi anaweza kula, kama mnavyokula swala au paa. Kumbukumbu la Torati 14:4, 5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Hawa ndio wanyama mnaoweza kula:+ ng’ombe, kondoo, mbuzi, 5 paa, swala, kulungu, mbuzi mwitu, mbawala, kondoo mwitu, na kondoo wa mlimani.
15 “Lakini wakati wowote mnapotamani nyama, mtamchinja mnyama na kula nyama yake+ kulingana na baraka ambayo Yehova Mungu wenu amewapa katika majiji* yenu yote. Mtu asiye safi na mtu aliye safi anaweza kula, kama mnavyokula swala au paa.
4 Hawa ndio wanyama mnaoweza kula:+ ng’ombe, kondoo, mbuzi, 5 paa, swala, kulungu, mbuzi mwitu, mbawala, kondoo mwitu, na kondoo wa mlimani.