Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 12:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Kondoo wenu anapaswa kuwa kondoo dume wa mwaka mmoja, asiye na kasoro.+ Mnaweza kuchagua mwanakondoo dume au mwanambuzi. 6 Mtamtunza mpaka siku ya 14 ya mwezi huu,+ na familia zote katika kusanyiko la Israeli zinapaswa kumchinja jioni kabla ya giza kuingia.*+

  • 2 Mambo ya Nyakati 35:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Yosia akawachangia watu wote waliokuwepo makundi ya kondoo na mbuzi, wanakondoo dume na wanambuzi dume, kwa ajili ya dhabihu za Pasaka, jumla ya wanakondoo na wanambuzi 30,000, na pia ng’ombe 3,000. Wanyama hao walitolewa katika mali za mfalme mwenyewe.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki