Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 31:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Ikiwa nilifanya dhahabu kuwa tumaini langu

      Au kuiambia dhahabu bora, ‘Wewe ni mlinzi wangu!’+

  • Ayubu 31:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Basi hilo ni kosa linalostahili adhabu kutoka kwa waamuzi,

      Kwa maana nitakuwa nimemkana Mungu wa kweli aliye juu.

  • 1 Timotheo 6:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Lakini wale ambao wameazimia kuwa matajiri huanguka kwenye majaribu, na mtego,+ na tamaa nyingi za kijinga zenye kudhuru ambazo hutumbukiza watu kwenye maangamizi na uharibifu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki