Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 21:6-9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kisha wazee wote wa jiji lililo karibu zaidi na maiti hiyo wanapaswa kunawa mikono yao+ juu ya ng’ombe huyo mchanga ambaye alivunjwa shingo bondeni, 7 nao wanapaswa kutangaza hivi: ‘Mikono yetu haikumwaga damu hii, wala macho yetu hayakuona ikimwagwa. 8 Usiwahesabie hatia hiyo watu wako Waisraeli, ambao uliwakomboa,+ Ee Yehova, nawe usiache hatia ya damu isiyo na lawama ibaki miongoni mwa watu wako Waisraeli.’+ Nao hawatakuwa na hatia hiyo ya damu. 9 Kwa njia hiyo mtaondoa hatia ya damu isiyo na lawama kutoka miongoni mwenu kwa kufanya yaliyo sawa machoni pa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki