Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 21:23-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Lakini kifo kikitokea, basi ni lazima mlipe uhai kwa uhai,*+ 24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,+ 25 alama ya moto kwa alama ya moto, jeraha kwa jeraha, pigo kwa pigo.

  • Mambo ya Walawi 24:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Mfupa uliovunjika kwa mfupa uliovunjika, jicho kwa jicho, jino kwa jino, atajeruhiwa kama alivyomjeruhi mwenzake.+

  • Mathayo 5:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 “Mlisikia kwamba ilisemwa: ‘Jicho kwa jicho na jino kwa jino.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki