Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 17:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Ikiwa kesi ambayo ni ngumu sana kwenu kuamua inatokea katika mojawapo ya majiji yenu, iwe ni kesi ya kuua*+ au dai la kisheria limezushwa, au tendo la ukatili limefanywa, au mizozo mingine, mnapaswa kwenda mahali ambapo Yehova Mungu wenu atachagua.+ 9 Nendeni kwa makuhani Walawi na kwa mwamuzi+ anayehudumu wakati huo, muwapelekee mashtaka yenu, nao watafanya uamuzi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki