Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Akamtundika mtini mfalme wa Ai mpaka jioni, na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akaagiza maiti yake iondolewe mtini.+ Kisha wakaitupa kwenye lango la jiji na kurundika mawe mengi juu ya maiti hiyo, na rundo hilo lipo mpaka leo.

  • Yohana 19:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Kwa kuwa ilikuwa siku ya Matayarisho,+ ili miili hiyo isibaki kwenye miti ya mateso+ siku ya Sabato, (kwa maana siku hiyo ya Sabato ilikuwa kuu),+ Wayahudi walimwomba Pilato aagize miguu yao ivunjwe na miili iondolewe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki