Hesabu 22:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Basi, tafadhali, njoo uwalaani watu hawa kwa niaba yangu,+ kwa maana wana nguvu kuliko mimi. Huenda nikawashinda na kuwafukuza kutoka nchini, kwa maana najua vema kwamba yule unayembariki amebarikiwa na yule unayemlaani amelaaniwa.” Yoshua 24:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Kisha Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, akaja kupigana na Israeli. Basi akamwita Balaamu mwana wa Beori ili awalaani ninyi.+
6 Basi, tafadhali, njoo uwalaani watu hawa kwa niaba yangu,+ kwa maana wana nguvu kuliko mimi. Huenda nikawashinda na kuwafukuza kutoka nchini, kwa maana najua vema kwamba yule unayembariki amebarikiwa na yule unayemlaani amelaaniwa.”
9 Kisha Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, akaja kupigana na Israeli. Basi akamwita Balaamu mwana wa Beori ili awalaani ninyi.+