Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 8:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Akawashinda Wamoabu+ na kuwaamuru walale chini ardhini, naye akawapima kwa kamba. Alipima safu mbili za watu ambao wangeuawa, na safu moja nzima ya watu ambao hawangeuawa.+ Wamoabu wakawa watumishi wa Daudi na kumletea ushuru.+

  • 2 Samweli 12:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Akawatoa nje watu waliokuwa ndani yake, akawapa kazi ya kukata mawe kwa misumeno, vifaa vya chuma vyenye ncha kali na mashoka ya chuma, na kazi ya kufyatua matofali. Hivyo ndivyo alivyofanya katika majiji yote ya Waamoni. Hatimaye Daudi na wanajeshi wote wakarudi Yerusalemu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki