-
Kumbukumbu la Torati 32:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Kama Mwamba wao hangekuwa amewauza+
Na Yehova kuwatia mikononi mwa maadui?
-
-
Yoshua 10:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Walipokuwa wakiwakimbia Waisraeli, Yehova akawanyeshea mvua ya mawe makubwa kutoka angani kwenye mteremko wa Beth-horoni mpaka Azeka, nao wakafa. Kwa kweli, wale waliouawa na mvua ya mawe walikuwa wengi kuliko wale waliouawa na Waisraeli kwa upanga.
-