Kumbukumbu la Torati 11:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 “Yehova Mungu wenu atakapowaleta katika nchi ambayo mtaimiliki, ni lazima mtangaze baraka kwenye Mlima Gerizimu na laana kwenye Mlima Ebali.+ Kumbukumbu la Torati 27:4, 5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Mtakapokuwa mmevuka Yordani, mnapaswa kupanga mawe hayo kwenye Mlima Ebali+ na kuyapaka chokaa,* kama ninavyowaamuru leo. 5 Pia mtamjengea Yehova Mungu wenu madhabahu huko, madhabahu ya mawe. Msitumie vifaa vya chuma kuijenga.+
29 “Yehova Mungu wenu atakapowaleta katika nchi ambayo mtaimiliki, ni lazima mtangaze baraka kwenye Mlima Gerizimu na laana kwenye Mlima Ebali.+
4 Mtakapokuwa mmevuka Yordani, mnapaswa kupanga mawe hayo kwenye Mlima Ebali+ na kuyapaka chokaa,* kama ninavyowaamuru leo. 5 Pia mtamjengea Yehova Mungu wenu madhabahu huko, madhabahu ya mawe. Msitumie vifaa vya chuma kuijenga.+