14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.
7Basi watu wa Kiriath-yearimu wakaja na kulichukua Sanduku la Yehova na kulipandisha katika nyumba ya Abinadabu+ juu ya kilima, nao wakamtakasa Eleazari mwanawe ili alilinde Sanduku la Yehova.