Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 34:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Wape Waisraeli maagizo haya: ‘Mtakapoingia katika nchi ya Kanaani,+ nchi mtakayoirithi, hii ndiyo itakayokuwa mipaka ya nchi hiyo ya Kanaani.+

      3 “‘Mpaka wenu wa kusini utaanzia nyika ya Zini kando ya Edomu, na upande wa mashariki mpaka huo wa kusini utaanzia mwisho wa Bahari ya Chumvi.+

  • Kumbukumbu la Torati 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Msizozane nao,* kwa sababu sitawapa sehemu yoyote ya nchi yao, hata mahali panapotoshea wayo wa mguu, kwa sababu nimempa Esau Mlima Seiri uwe miliki yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki