Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 9:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Siku tatu baada ya kufanya agano pamoja nao, wakasikia kwamba walikuwa majirani wao na waliishi karibu nao. 17 Ndipo Waisraeli wakaanza safari na kufika katika majiji ya watu hao siku ya tatu; na majiji yao yalikuwa Gibeoni,+ Kefira, Beerothi, na Kiriath-yearimu.+

  • Yoshua 18:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kabila la Benjamini liligawiwa urithi wao kwa kura kulingana na koo zao, walipewa urithi kati ya kabila la Yuda+ na wazao wa Yosefu.+

  • Yoshua 18:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.

  • 1 Samweli 7:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Basi watu wa Kiriath-yearimu wakaja na kulichukua Sanduku la Yehova na kulipandisha katika nyumba ya Abinadabu+ juu ya kilima, nao wakamtakasa Eleazari mwanawe ili alilinde Sanduku la Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki