Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 6:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Basi watu wakapaza sauti pembe zilipopigwa.+ Na mara tu watu waliposikia sauti za pembe na kupiga kelele kubwa za vita, ukuta ukaanguka chini.+ Kisha kila mtu akaingia jijini moja kwa moja, nao wakaliteka.

  • Yoshua 6:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Wakati huo Yoshua alitangaza kiapo* hiki: “Na alaaniwe mbele za Yehova mtu atakayejaribu kulijenga tena jiji hili la Yeriko. Atakapojenga msingi wake, mzaliwa wake wa kwanza atakufa, na atakapoweka malango yake, mwana wake wa mwisho atakufa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki