-
Hesabu 26:29-32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Wana wa Manase+ walikuwa: kutoka kwa Makiri,+ ukoo wa Wamakiri; naye Makiri alikuwa baba ya Gileadi;+ kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi. 30 Hawa ndio waliokuwa wana wa Gileadi: kutoka kwa Yezeri, ukoo wa Wayezeri; kutoka kwa Heleki, ukoo wa Waheleki; 31 kutoka kwa Asrieli, ukoo wa Waasrieli; kutoka kwa Shekemu, ukoo wa Washekemu; 32 kutoka kwa Shemida, ukoo wa Washemida; kutoka kwa Heferi, ukoo wa Waheferi.
-