Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Watu watano kati yenu watawakimbiza maadui 100, na 100 watawakimbiza 10,000; mtawaua maadui wenu kwa upanga.+

  • Waamuzi 3:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Baada ya Ehudi, akaja Shamgari+ mwana wa Anathi, aliyewaua wanaume 600 Wafilisti+ kwa mchokoo wa ng’ombe;+ yeye pia aliwaokoa Waisraeli.

  • 2 Samweli 23:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Haya ndiyo majina ya mashujaa hodari wa Daudi:+ Yosheb-bashebethi Mtakemoni, kiongozi wa wale watatu.+ Wakati mmoja, alitumia mkuki wake kuwaua watu 800.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki