-
Waamuzi 4:15, 16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha Yehova akamvuruga+ Sisera na magari yake yote ya vita na jeshi lake lote na kuwaangamiza kwa upanga wa Baraka. Ndipo Sisera akatoka katika gari lake na kukimbia kwa miguu. 16 Baraka akayafuatia yale magari ya vita na lile jeshi mpaka Haroshethi ya mataifa. Jeshi lote la Sisera likaangamizwa kwa upanga; hakubaki hata mtu mmoja.+
-