Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 17:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Wazao waliobaki wa Manase waligawiwa nchi yao kwa kura kulingana na koo zao, yaani, wana wa Abiezeri,+ wana wa Heleki, wana wa Asrieli, wana wa Shekemu, wana wa Heferi, na wana wa Shemida. Hao ndio wazao wa kiume wa Manase mwana wa Yosefu, kulingana na koo zao.+

  • Waamuzi 6:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Basi Gideoni akamjengea Yehova madhabahu hapo, ambayo mpaka leo hii inaitwa Yehova-shalomu.*+ Bado iko huko Ofra ya Waabiezeri.

  • Waamuzi 8:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Gideoni mwana wa Yoashi akafa baada ya kuishi maisha marefu, akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake katika jiji la Ofra la Waabiezeri.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki