Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 18:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kwa hiyo Abrahamu akaenda haraka hemani na kumwambia Sara: “Fanya haraka! Chukua vipimo vitatu* vya unga laini, ukande unga huo, na kuoka mikate.” 7 Kisha Abrahamu akakimbia kwenda kwenye mifugo, akachagua ng’ombe dume mchanga, mzuri na laini. Akampa mtumishi wake, naye akafanya haraka kumtayarisha.

  • Mwanzo 19:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Wale malaika wawili wakafika Sodoma jioni, na Loti alikuwa ameketi katika lango la Sodoma. Loti alipowaona, akasimama ili awapokee, akainama chini kifudifudi.+

  • Mwanzo 19:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Lakini akawasihi sana hivi kwamba wakaingia pamoja naye ndani ya nyumba yake. Kisha akawaandalia karamu, akaoka mikate isiyo na chachu, nao wakala.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki