-
Waamuzi 16:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Samsoni akamwambia, “Wakinifunga kwa kamba saba mbichi za upinde, nitakuwa dhaifu kama mwanadamu mwingine yeyote.”
-
-
Waamuzi 16:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa hiyo akamwambia, “Wakinifunga kwa kamba mpya ambazo hazijatumiwa, nitakuwa dhaifu kama mwanadamu mwingine yeyote.”
-